Femi One ft Domani Mkadinali Staki Lyrics

Yeah, hii clique ni ya wanati
Skrrtt Skrrt hunipati
Walahi aki
Unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki (staki na staki)
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki na, staki na staki

Staki na staki, staki na staki
Mmh mmh (Wapi?)
Staki na staki, staki na staki
Man a born fire (staki na, staki na)
Man a born fire

Ambia boy fisi simtaki, hio time akupee siko idhaa
Maboy wanareverse kwa ma parking
Ye ni calls hureverse kila saa
Femi one their mum, their aunty
Niliwashow hao ma Mcee tumewazaa
Nditni niko mtaa niko active
Sina time ya — mi staki
Staki na staki drama na nuks
Hunipati sitaki mamoods

Kama si mali, kama si ganji
Niko Jumanjee niko kwa booths
Nigga ni mtiaji, pedi wa nudes
Imagine hell of a dude
Telegram chatting na uko mangwati
Bro uko kwa dhambi, si kwa mabooks

Ka staki staki
Kwani ni lazima, mbona unaforce?
Mans alipigwa stopper DM
Akajam ka spread on toast
I guess .. ego
Left him on read and he had some hopes

Clique ni savage
Clique ni rong
Hii clique ni, clique ni..

Hii clique ni ya wanati
Skrrtt Skrrt hunipati
Walahi aki
Unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki (staki na staki)
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki na, staki na staki

Staki na staki, staki na staki
Mmh mmh (Wapi?)
Staki na staki, staki na staki
Man a born fire (staki na, staki na)
Man a born fire

Hii clique ni ya bombo shanty
Always skunking, jobless, party
Alivuta foreign na ulafi
Akacheki mwangaza kama Kamlesh Partni
Life ni ualala, view ni ya bramnba
Staki na staki, glass umelamba, staki na
At times zilibamba then akaanza feelings
Vibe inaishanga
Staki na staki stamina energy
Kama ni umbakni staki na
Whatsapp groups hunipati
I don’t co-relate na umati
Staki na

Alikuwanga rekless mneti
Hata sikureact, zero pressure sikuangi na time
Ju ya mambleina spati
Walai aki mshow akae mbali na
ATM limit ni maximum
Mteja wa nambari hapatikani
Wako roaming ka padre wa Vatican
Ngoma zipop tunatambua ni pandisa

Clique ya mapagan, clique ya warazi
Staki na staki ku-interact na madwanzi
Tuklo ma endeavour, mamradi
Hii ni clique ya mapeng
Hii ni clique ya mabaddie

Hii clique ni ya wanati
Skrrtt Skrrt hunipati
Walahi aki
Unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki (staki na staki)
Staki na staki, staki na staki
Staki na staki na, staki na staki

Staki na staki, staki na staki
Mmh mmh (Wapi?)
Staki na staki, staki na staki
Man a born fire (staki na, staki na)
Man a born fire

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *