(Kimambo on the Beat)
Haya Mapenzi kama bahari inazama, acha yanipige Nimeshakwama penzi la huyu mvulana, sijui nifanyeje
Unanishangaza eeeeh eeh, tamu switi mi nakolea! Unaniliwaza eeeh eeh, jinsi mambo unavonipea..
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla
Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia

(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)
VERSE 2:
Aah haina maana, umenishika tighti Umenibana unanifanya, kwako sifurukutii
Unaponimaliza, kwa sauti ukiniita Yaani kama diva, Cinderella Sinyorita Penzi letu limenona, nani kama wewe
Unanifanya mi nakoma, kufata mwengine
Na jinsi tamu inavyoingia, ni kama keki ya vanilla Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia

Na nikwambie jinsi najiskia, nikiikosa nitalia
(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)
(Oh baby tena) Nataka kidogo
(Aaah ah!)
Nipe tena (Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!)Nipe tena
Yote Yote!!
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Nipe yote)
Nataka kidogo (Aaah ah!) Nipe tena
(Yote Yote)

Leave a Comment on Nadia Mukami Nipe Yote Lyrics

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *