Ka ni form niko form na mashore
Kama ni weekendi mi hujibamba na mbogi
Mi ndio dere si ufike baze na moti
Leo tunaburn tunaskunk tu kisensi
Si form kamili bila Trio na mapengting
Wawili wawili kichinjio nifanye testing
Mi hukanyambisha kananuka design ya septic
Hakuna kubahatisha zinararuka na kisensi
Ka ni mboka iko ready kama power
24/7 mi hucheza ki Jack bawa
Ni kanyau kalidai hakana power
Mi ndio Grandpa buda mi ndio manyanga

Unakata panda balance Wagithomo ndani ya dunda na shada
Nilidhani ni kasupa kumbe filters Siwezi jaribu kutippytoe na uko na jiggers
Party after after party leta partycup
Mistari ngori sana zimeenda planty na
Mi huroga vitamu sana unaeza niita candybar
Ka ni fame sina shame buda sina caliber
Pedi wa kinyaru julikana ju ya backpack
Ka ni rada mi husafisha kiduster
Man star kwenye mix mimi ndio master
Panstar kwenye mix
Ka ni form niko form na mashore
Kama ni weekendi mi hujibamba na mbogi
Mi ndio dere si ufike baze na moti
Leo tunaburn tunaskunk tu kisensi

Wawili wawili kichinjio nifanye testing
Mi hukanyambisha kananuka design ya septic
Hakuna kubahatisha zinararuka na kisensi
Andale andale mami ia, ia
Rada ni waganis form inapandisia
Skia nina ki cannabis chuom tunakaskizia ia
Maji ni catalyst konki kuna mabeer pia
Keep it low, motin on the minimal Unaeza ropokwa mashidi zikuje physical Ficha white ki brikicho, vidole ni sticky jo
Jabling huwanga blunder njoti ni ya kuongeza libido
Natippy toe kitimmy dat tingiza hizo wetetete
Pitisha kimbichwa kwa dirisha kiumbwetete Rada nyi mnahesitate hepa na matembete Kilundeezy Trio Mio, Mavo on the beat-ete
Ka ni form niko form na mashore
Kama ni weekendi mi hujibamba na mbogi
Mi ndio dere si ufike baze na moti
Leo tunaburn tunaskunk tu kisensi
Si form kamili bila Trio na mapengting
Wawili wawili kichinjio nifanye testing
Mi hukanyambisha kananuka design ya septic
Hakuna kubahatisha zinararuka na kisensi
Una kishada buda leo si tuvai
Tukiskizaga doba na magood vice
Ati kuna curfew aki leo mi sikai
Usilete hasira saa zile zimedojo
Tuko Karen na sijui hata githongo
Mamboto tunachachisha na waroro
Kalinasa tuko waters
Kuharibu sana ati kesho tuko mbokas
Beating aki leo sina focus
Madem wamejaa ndani ya club locust
Niaje Morio si uvutie Dj Tophaz
Leo ni sherehe na aki mi siwezi kosa
Ka ni form niko form na mashore
Kama ni weekendi mi hujibamba na mbogi
Mi ndio dere si ufike baze na moti
Leo tunaburn tunaskunk tu kisensi
Si form kamili bila Trio na mapengting
Wawili wawili kichinjio nifanye testing
Mi hukanyambisha kananuka design ya septic
Hakuna kubahatisha zinararuka na kisensi
Ka ni form niko form na mashore
Kama ni weekendi mi hujibamba na mbogi
Mi ndio dere si ufike baze na moti
Leo tunaburn tunaskunk tu kisensi
Si form kamili bila Trio na mapengting
Wawili wawili kichinjio nifanye testing
Mi hukanyambisha kananuka design ya septic
Hakuna kubahatisha zinararuka na kisensi

Leave a Comment on Kilundeezy – Form Lyrics (Ft. Trio Mio)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *