Nyashinski - Hapo Tu Lyrics (Ft. Chris Kaiga )

Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
(Yeah, yeah yeah yeah)
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
(Cedo)
Guardians tuko jaba
Wengine wako meeting
Zetu ni ma German
Zenyu pikipiki
Leo tunaenda Canaan
Beba zigi mingi
Ka kuna ma madam
Beba CD mingi
Ni mimi hapo backleft
Paparazzi wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla nifuge manati
Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace

Siku hizo backseat ilikuwa love seat
Smooth ya manual unafikiria ni automatic
Tint kwa window muhathara ndo hatutaki
Hapa perfection tunaifanya bila practice
Mbele naona success nafunga Hat-trick
Mi ndo the “Chieth” kwa hii choo itisha Harpic
Tangu tuingie kwa hii mchezo si ndo heartbeat
Nairobi City tunairun kama athlete
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
[Chris Kaiga]
Iseti hapo nikuhandle
Alafu kam tutoe lock ka key ya mlango
Nikuingize ndani ya box kama ballot
Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho
Ambie Beenie Man nimepata queen wa dancehall
After leo utarudisha weave salon
After leo nawacha Arimis na ma Valon
Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport
Kitu ka hii ni rare ichimbe ndo upate
Mi na Nyash ni kama jet ya private
Vutia wateja ni ka amewkwa magnet
Ita touch wateja hadi waitane
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!

Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter
Tint kwa dirisha usinimind nikipita
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika
Hii game ndo inabisha hii si 9
Tint kwa dirisha usinimind
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika
Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Naskia…Naskia…
Naskia…Naskia…

Leave a Comment on Nyashinski – Hapo Tu Lyrics (Ft. Chris Kaiga )

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *